Home »
WAKENYA
»
Ni Kutoka Kwa Majirani Zetu Huko Kaskazini. Hayo Mavazi Ukutani Jamaa Wamegwaya na Wanaogopa Kumtokea Kwa Sababu Hawajui Kama ni Yake au Vipi. Kaweka na Namba ya Simu Kabisa Lakini Watu Kimyaa. Hayo Mavazi Hapo Ukutani Yanaogopwa Si Mchezo !!!