Inasemekana wamepata ajali walikuwa wameegesha gari karibu na mteremko wakawa wanafanya mapenzi ndani ya gari.
Ghafla gari likafeli break likashuka mlima likawamaliza.
Mahali ni Majumba 6 jirani na Segerea Dar.
Samahani kwa picha ila tujifunze kitu.
Huyu dada lazima mambo yalikolea akasukuma gear kwenda free.


