Haki ya Nani Wabongo Sisi kwa Uwongo na Umbeya Tumezidi Duh. Kungekuwa na Mashindano ya Umbea na Kupiga Domo Mitandaoni na Kwingineko Haki ya Nani Tungeshika Nambari Wani....

==> Aliyeileta hiyo habari hapo chini kuhusu hiyo ajali ya wapenzi ni mdau ninayemwamini sana.
==> Na ameapa kabisa kuwa jana asubuhi alishuhudia hii ajali mwenyewe.
Kumbe uwongo mtupu!

Anyway, funzo ni lile lile: Siyo busara kuegesha gari kwenye mteremko na kuanza kutombana.
Ajali kama hii yaweza kutokea....
Asante mdau anonymous uliyeleta ufafanuzi wa hii ishu...

Habari kamili IKO HAPA
***********************